ApkSoul.net Chevrons Right Apps Chevrons Right Health & Fitness Chevrons Right AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto
AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto v2.0.67 APK + MOD (Premium Unlocked/VIP/PRO)

#1 Kwa Ufuatiliaji wa Maendeleo ya Ujauzito na Ukuaji wa Mtoto kwa Kiswahili

Updated on July 28, 2024

Download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK 2.0.67 (Premium Unlocked/VIP/PRO) for Android - Free - Latest. AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto is published by Njiwa Technologies (Google Play: co.njiwatech.afyatrack).
NameAfyaTrack - Ujauzito na Mtoto
Genre
Version2.0.67
DevelopersNjiwa Technologies
IDco.njiwatech.afyatrack
Size6.3M
Requirement5.0 and up
Download10,000+
Download
AfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na MtotoAfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

Features MOD APK of AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

Download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK with Premium Unlocked/VIP/PRO.

MENU MOD

  • Unlocked Premium.
  • Unlocked VIP.
  • Unlocked Pro.
  • Free.
  • MOD Paid.

Install AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK

To download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto (Premium Unlocked/VIP/PRO) APK and other applications at ApkSoul.net you should see the instructions below.
  1. You can download it by clicking the download button below the article. Then wait a few seconds for the system to automatically download the AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK / DATA file
  2. To install software anywhere else, you have to enable installation from third-party sources.
  3. Enable the "Unknown Sources" setting: Go to Menu > Settings > Security > and check for unknown sources so that your phone can install applications from sources other than the Google Play Store.
  4. Once you have completed the above step, you can go to the "Download" folder in the file manager and click on the downloaded MOD APK file.

After the installation is complete, you can open the application and experience as usual.

Note: Before installing the APK MOD, you need to uninstall the original version or another MOD version.

About AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto

AfyaTrack App ni application pekee na ya kwanza nchini Tanzania na Afrika Mashariki kukuletea huduma za ufuatiliaji afya mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili.

MATUMIZI:
Kwa ujumla application ya AfyaTrack inakuwezesha:

1. Kupata ushauri kwa makala na nyenzo mbalimbali kukusaidia "KUPATA UJAUZITO" wenye afya na kwa wakati.

2. Kufuatilia maendeleo ya "UJAUZITO" wiki hadi wiki tangu kutungwa kwa mimba mpaka kujifungua.

3. Kufuatilia hatua za ukuaji na maendeleo ya afya ya "MTOTO" tangu kuzaliwa mpaka miaka mitano (5).

4. Kujiunga na kuwasiliana na "JAMII" kubwa ya wajawazito na wazazi wengine kwenye mtandao wa AfyaTrack.Com na forums zake kwa ujumla.

KUJIUNGA:
Kujiunga ni rahisi sana. Utahitaji kuwa na E-mail yako, namba yako ya simu na tarehe yako ya kuzaliwa tayari kuweza kujiunga na AfyaTrack app. Baada ya kujiunga na kuingia ndani ya app (Login) utachagua huduma unayotaka kufuatilia halafu ingiza tarehe husika, kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa ufuatiliaji huduma husika.

Unaweza ukabadilisha taarifa za "Account" yako hapo baadae, ikiwemo kubadilisha huduma unayotaka kufuatilia kwa kubonyeza alama ya uso (face icon) iliyopo juu kabisa kulia kwenye app.

HAKI MILIKI:
Taarifa, Makala na Ushauri wowote uliopo kwenye AfyaTrack app na AfyaTrack.Com ni mali ya AfyaTrack. Kunakili, kuchapisha au kushirikisha wengine kwenye tovuti nyingine au mitandao ya kijamii bila kutushirikisha au kuomba idhini kutoka uongozi wa AfyaTrack ni kwenda kinyume na sheria zetu za haki miliki.

ANGALIZO:
Taarifa na maelezo yote yaliyopo kwenye app hii na tovuti ya AfyaTrack.Com yasitumike kubatilisha au kama mbadala wa ushauri na huduma kutoka kwa mtaalamu toka kituo cha afya. AfyaTrack chini ya Afya4All Group inakutahadharisha kuwa haitahusika kwa namna yoyote ile na matokeo ya maamuzi yako utakayochukua kutokana na taarifa hizi zinazotelewa kama taarifa na ushauri kwa jamii yote kwa ujumla.

Taarifa na ushauri huu usitumike kama mbadala wa ushauri utakaopewa na daktari, mkunga au mtoa huduma kutoka kituo rasmi cha afya.

Kama una wasiwasi au tatizo kuhusu ujauzito au mtoto wako tafadhali wasiliana na daktari wako au mtoa huduma wa afya karibu yako.

Timu nzima ya AfyaTrack inakutakia ujauzito mwema, kujifungua salama na malezi mema na afya bora kwako na kwa mtoto wako.

WASILIANA NASI:

Web: http://afyatrack.com
Facebook: http://facebook.com/afyatrak
Twitter: http: @afyatrak
Instagram: @afyatrack

HUDUMA KWA WATEJA:
Tunajitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kuboresha huduma za AfyaTrack ili kukuwezesha kupata taarifa sahihi na kwa wakati. Je una ushauri au mawazo ya kutusaidia kuiboresha app hii? Tuandikie barua pepe: feedback@afyatrack.com

What's new in version 2.0.67

**Marekebisho ya Tatizo la Kutohesabu Umri wa Mtoto kwa Usahihi**
Kurekebisha tatizo la baadhi ya watumiaji kushindwa kujiunga
Kuboreshwa kwa muonekano na mfumo wa app kwa ujumla
Kuongezwa kwa huduma ya “KUPATA UJAUZITO”
Kuboreshwa kwa huduma ya “MTOTO”
Kuongezwa kwa Nyenzo (TOOLS)
Uwezo wa kujiunga na JAMII ya wajawazito na wazazi wengine
Jiunge kwa namba ya simu au E-mail
Badili password uliyoisahau kiurahisi

Frequently Asked Questions (FAQ)

Q. How to download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto on ApkSoul.net?

To download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto Apk Mod, please click on the download button at the top of the article or at the end of this article. You will then find the Apk file on ApkSoul.net's “Download” page. Follow the necessary instructions and you will download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK (Premium Unlocked/VIP/PRO) for free.

The installation steps after downloading most premium app are the same. Open menu, settings, security and search for unknown sources so your phone can install apps from sources other than Google Play Store, ApkSoul.net. Go to the “Downloads” folder on your device and click on the downloaded file. Then install and launch it on your phone. Wait a moment for the device to install the premium app.

Q. Is it safe to download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto APK Mod (Premium Unlocked/VIP/PRO) on ApkSoul.net?

When the user downloads the Apk file from ApkSoul.net, we will check the relevant APK file on Google Play and let the user download it directly. The games and applications uploaded to our website are safe and harmless to users.

Q. Why do you need permission to install AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto Mod Hack (Premium Unlocked/VIP/PRO) ?

The app needs access to the system on your device. When you install an application, you will be notified of all the permissions required to run the application.

Overview

AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto (co.njiwatech.afyatrack) is a premium app on Android, download the latest version of AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto Hack Mod (Premium Unlocked/VIP/PRO) 2022 for Android. This premium app can be played for free and does not require root.

AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK (Premium Unlocked/VIP/PRO) APK + OBB 2022 can be downloaded and installed on your android device with android version 4.1 or higher. Download this premium app using your favorite browser and click install to install the premium app. Downloading (co.njiwatech.afyatrack) APK + DATA of AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto (Premium Unlocked/VIP/PRO) from ApkSoul.net is easier and faster.

Reviews from users

Elizabeth Michael: No nxuri mno na ninaielewa na kuipenda

Mohamed Chingumbe: Ni Application nzuri mno nmeanza kiifuatilia toka namna ya kupata Ujauzito, Ujauzito na Sasa namshukuru mungu tunalea Binti na tunaendelea kutembea na Afya Track, Ahsanteni sana na mungu awabariki

Violeth Kasao: Very Very beautiful app ever ?

Cain Chuhira: Very helpful and real app

Naima Mohamedi: ????

Riam_mam makeovers: Best app ever?

Sikudhan Maulid: Very good app

Alfani kirua: Good

RJ Josephat: Helpful

Godliving Mutagaywa: Very nice one, i recomend!

Download AfyaTrack - Ujauzito na Mtoto MOD APK for Android